Afurahishwa na mkandarasi kurejea na kuendelea na kazi YA ujenzi wa jengo la abiria
- Akagua jengo la kituo cha polisi uwanja wa Ndege
- vyombo vya Ulinzi uwanja wa Ndege vyaeleza namna vilivyojipanga kukabiliana na wasafirishaji wa madawa ya kulevya

- Mkuu wa Mkoa Aeleza Mipango kabambe YA uwanja wa Ndege wa Songwe namna uwanja huo utakavyokuwa lango la biashara na utalii kwa nchi Nyingi za kusini mwa Afrika
- Uwanja wa Songwe utachochea uchumi kwa wananchi wa Mbeya, mikoa jirani na watanzanzania kwa ujumla







0 comments:
Post a Comment