,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, March 17, 2017

Image may contain: 3 people, people standingAZINDUA rasmi zoezi kampeni YA uandikishaji wananchi kupata vitambulisho vya URAIA  Afanya mkutano na viongozi wa dini na mila halmashauri YA Mbeya na kuwaomba kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwa ajili ya vitambulisho vya URAIA  AWATAKA watendaji na wananchi kuwa macho na watu wasiokuwa Raia wasiandikishwe ikizingatiwa Mkoa wa Mbeya upo mpakani na bila kuchukua tahadhari wasiokuwa Raia watatumia kama Fursa YA kujiandikisha ni hatari Image may contain: 14 people, people standing
-Awaomba viongozi wa dini kukemea mila POTOFU na imani za kupitiliza ktk jamii ikiwemo matukio YA hivi karibuni YA watu kutokuzika na kusubiri maombi YA KUFUFUA au kufukua kaburi ili kufufua 
- Amewataka viongozi wa dini na mila kushirikiana na serikali kutokomeza imani za kupitiliza na imani za mila potufu ikiwemo uchonaji ngozi au viungo vya binadamuImage may contain: 14 people, people standingImage may contain: 2 people

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi