,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, March 17, 2017

Riyama na Mume wake.
MSANII wa Bongo Muvi nchini Riyama Ally, ‘Riyama’, amewafungukia na kuwashambulia wezi wa mtandaoni wanaofanya hivyo kwa kutumia akaunti za watu maarufu.
Akaunti ya Riyama
Amesema wezi hao wameichukua akaunti ya mumewe na kufuta picha zote kisha kutangaza kuiuza kwa Sh. 70,000.Aidha Riyama ameeleza kuwa mwizi huyo ameshapatikana na watamchukulia hatua za kisheria ili liwe fundisho kwa wezi na matapeli wengine wa mtandaoni.

Ujumbe wa Riyama Instagram

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi