Rais wa Malawi Peter Mutharika
Bwana Mutharika amesema, Tenthani atakumbukwa kama mtu mwenye kipaji cha hali ya juu, mcheshi na mchangamfu.
Raphael Tenthani ambaye alikuwa na umri wa miaka 43 alifahamika nchini kote Malawi na amekuwa akiripotia Idhaa ya Kiingereza ya BBC kwa zaidi ya miaka kumi. Pia alifanya kazi na shirika la habari la Marekani la Associated Press. Mwaka 2010 alishinda tuzo ya Umoja wa Mataifa ya
Rais
Peter Mutharika wa Malawi ametoa salaam za rambirambi kufuatia kifo cha
mwandishi wa habari wa BBC nchini humo Raphael Tenthani, ambaye amekufa
katika ajali ya gari.
Raphael Tenthani ambaye alikuwa na umri wa miaka 43 alifahamika nchini kote Malawi na amekuwa akiripotia Idhaa ya Kiingereza ya BBC kwa zaidi ya miaka kumi. Pia alifanya kazi na shirika la habari la Marekani la Associated Press. Mwaka 2010 alishinda tuzo ya Umoja wa Mataifa ya

0 comments:
Post a Comment