,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, March 25, 2015

"Nyalandu; Cheo ni dhamana, viongozi wote wa serikali waliotokana na CCM watambue kilichoaminiwa ni Chama na si wao binafsi. Wanapofanya vyema Chama kinasifiwa na wanapoboronga Chama kinalaumiwa.
Kazi ya kiongozi upimwa na wananchi. Wananchi wengi wanalia na uonevu na dhuluma ya maafisa wa maliasili huku waziri kutwa kucha na suti na wasanii wa Bongo movie na bado utataka Katibu mkuu wa Chama akutetee mbele ya wananchi wanaolia ? NO! Ukijiangalia kwenye kioo unachokiona ndio taswira yako, usipigane na kioo, badilika. Wizara hii ina hela sana lakini fedha fedhea, ona ulivyonwingiza Sheikh Alhad Salum kwenye mkenge wa kukutetea na Mufti kamkana. Utetezi mzuri nenda kwa wananchi maskini wanaokulalamikia kawatatulie kero zao. Sikio halizidi kichwa. Huwezi mfikia mzee kinana kwa vyeo, umaarufu, hata uzoefu wa uongozi.Kinana hamwonei mtu. Anatetea wanyonge ambao ni mtaji wa CCM."

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi