,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, May 24, 2017

Image may contain: 1 person, closeup


PAUL C MAKONDA ALIVAMIA KITUO CHA REDIO NA TV CLAUDS ?

Ndugu zangu Leo pia nimeona nitoe ufafanuzi kidogo juu ya swala LA Mkuu wa mkoa kutuhumiwa kuvamia kituo cha utangazaji japo yeye mwenyewe aliongea mengi siku ya jumatatu hii ni hoja ndogo sana ambayo nilijua kwa uelewa hata mtoto wa darasa LA saba

anaweza kuijibu kwa ufasaha kabisa Mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Paul C Makonda hakuvamia kituo cha utangazaji na hapa nakuja na hoja mbili tu ambazo zinamaliza kila kituo

Kwanza Mkuu wa mkoa yoyote katika mkoa wake ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama katika mkoa moja ya majukumu ya Mkuu wa mkoa ni kuhakikisha ya kuwa wananchi wake katika mkoa anao uongoza wanakuwa salama na katika tukio lile inasekana alikuwa na polisi na wana bunduki lazima hapa tujue kazi ya polisi ni kulinda RAIA na watu wake sasa kama watu wanao simamia ulinzi wa RAIA na Mali yake wameingia wamekuja kwako wakafungua mlango na wala haukuvunjwa na wewe ukawatambua kuwa majukumu yao ni kukulinda itakuaje sasa kuwazungumzia watu wenye jukumu LA kukulinda kuwa wamekuvamia ina maana hawakujua kazi ya polisi na kazi ya Mkuu wa mkoa swala LA bunduki polisi ni vitendea kazi vyao ni sawa na mwalimu na peni au chaki

Pili nizungumzie clip yenyewe inayosemekana kuwa ni uvamizi clip inaeleza wazi kuwa wanaongozana na mmoja kati ya mtangazaji na tena haionyeshi majibizano yoyote ya kulazimisha kuingia na wakakataliwa na pia inakwenda mbali kabisa inaonyesha kuna mtumishi pale mapokezi hana wasi wasi wowote anaendelea na mambo yake

Mimi naisi kuna watu hawajui maana halisi ya kuvamiwa wanaongea ongea tu swala LA uvamizi sio mchezo yaani usiombe yakukute kama kuvamiwa na majambazi kuna wachache wameona watu wakiojiwa pale kkoo kuhusu ule uvamizi wa majambazi kuna watu walikuwa hawapati choo wewe unavamiwa na matangazo yanaendelea unavamiwa inaonyesha watu wanaendelea na mambo yao.

HASSAN FACEBOOK

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi