Maelfu ya watu wamekusanyika huko Orlando Marekani usiku wa jumatatu, kuwakumbuka na kuwaombea watu 49 waliouwawa kwa mashambulizi ya kikatili ya risasi kwenye Klabu ya Usiku ya Mashoga siku ya jumapili.
Vilio vikiwa vimetawala wakati wa kuwaomboleza watu 49 waliouwawa Orlando
Hata wanaume walishindwa kujizuia na kumwaga chozi
Watu wakiwa na mishumaa wakiomboleza wenzao waliouwawa kwenye Klabu ya Pulse huko Orlando





0 comments:
Post a Comment