Posted by Williammalecela.com on Thursday, October 06, 2016
Amewataka wafanyabiashara kutoa ushirikiano kwa serikali na jiji kwa hatua zinazochukuliwa kuboresha soko hilo
Asema Mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa hesabu za serikali( CAG) wiki ijayo anaanza kazi YA uchunguzi wa gharama za ujenzi wa soko na mchakato Mzima wa upangishaji
Awataka waliopewa vyumba wafungue biashara kwani kutofungua ni hujuma na hasara kwao
0 comments:
Post a Comment