Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako amewafukuza chuo Waalimu
waliokuwa katika mafunzo kwa vitendo Shule ya Mbeya Sekondari kwa
kumpiga kikatili Mwanafunzi.
Sakata hili limeibuliwa na picha ya video iliyokuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii. Na pia vyombo vya usalama vinawatafuta walimu wote walio fanya unyama ule ili sheria ichukue mkondo wake.

0 comments:
Post a Comment