Posted by Williammalecela.com on Thursday, October 06, 2016
"Anajiita
Abdul analewesha watu Kwa drugs anakuibia kila kitu unatupwa mtaroni Or
whatever Hawa watu hatari kabisa
,walimtesa best yangu
😭alizinduka
after 2days ,Leo Kama mungu akamuona ilala ndo kwenda kituo cha polis
jirani akaja akakamatwa,huku Na huku katika kupekuliwa wakakutwa Na hizo
dawa za usingizi,Hawa watu wanatunyima Amani mjini ,muuaji mkubwa
,please share mamlaka husika pls fanyeni kazi yenu Kwa usahihi maana
inasemekana akikamatwa anaachiwa tu
😭,Mwigulu Nchemba plz help huyu mdudu anatesa wananchi"
Source:- Facebook
0 comments:
Post a Comment