TAKRIBANI
watu wanne wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya
kutokea milipuko kadhaa ya mabomu katika maeneo ya kitalii nchini
Thailand.
Mabomu hayo yalikuwa yamefichwa na kulipuliwa kwa kutumia simu za mkononi.
Mabomu hayo yalikuwa yamefichwa na kulipuliwa kwa kutumia simu za mkononi.
Milipuko miwili ya kwanza ililipuliwa katika mtaa wa kitalii wa Hua Hin usiku wa kuamkia leo na kuua mtu mmoja.
Milipuko
mingine imetokea leo asubuhi katika mji ulio karibu na Bangkok huku
milipuko mingine miwili ikilipuliwa katika kisiwa cha Phuket, ambapo ni
maarufu kwa kuwa na watalii kutoka nje ya nchi.
0 comments:
Post a Comment