Posted by Williammalecela.com on Saturday, August 13, 2016
Hatimaye Ali Kiba Awagalagaza wasanii wengine kutoka nchi tofauti za Africa katika Tuzo za NAFCA..abeba Tuzo Mbili kwa mkupuo…Hatimaye nayeye kaleta Heshima nchini. ..kwa pamoja tumpongeze Ali Kiba kwa kubeba Tuzo hizi kwani Ameleta ushindi Nyumbani.
0 comments:
Post a Comment