Posted by Williammalecela.com on Friday, June 24, 2016
Hali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi.
Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange kaachwa na mumewe Lance na sasa wanalelea watoto tu.
Lakini Mange mwenyewe amekuwa akijitutumua kuonesha mambo sio mabaya
katika ndoa yao,japo ni dhahiri kwamba hakuna ndoa baina yao tena.
Habari ya kuachwa ilikolezwa na 'ubuyu' kutoka kwa shoga yake Mange wa
kuitwa Killy Janga ambaye inasemekana Mange alimpigia simu huku akilia
kuwa kaachwa.
Na hii ni kipindi kile aliandika kupitia blog yake kwamba yuko katika wakati mgumu "DEEP MAWAZUUUUUU"
Kama kawaida,habari hainogi bila picha.
Hivi ndivyo ilivyokuwa huko Instagram
================
17/04/2016: Mange Kimambi ajitokeza na kukanusha tetesi za kupewa talaka
Hii ndio Kichwapanzi ameirusha huko Instagram leo kama ndio ushahidi wa Divorce Papers za Mange Kimambi ikiwa ni rasmi kuwachwa na Mume wake wa Muda mrefu kutokana na Matatizo ya Mange na Social Media.
0 comments:
Post a Comment