,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, June 24, 2016


Huko Instagram kizaazaaa cha Mange Kimambi kumtukana Marehemu Mama yake Le Mutuz jana kiliingia katika sura mpya baada ya Mange kuonyeshwa kaburi la Mama yake mzazi ambalo limeonekana kuachwa bila kuangaliwa MAnge bingwa wa kutukana wengine kwenye mitandao ya Kijamii alipandwa na hasira na kuwaomba mashabiki wake wawaombe Instagram kufunga Account ya Kichwapanzi. Account hiyo ilifungwa jana usiku lakini leo ikawa hewani tena na mpaka kuwekwa kwa Copy za Divorce ya Mange. Inasemekena Mume wa Mange alichukizwa sana na kitendo cha Mange kumshambulia Marehemu Mama yake Le Mutuz ndio akaamua kutoa copy hizo za Divorce ambayo Mange alikuwa amekataa kata kata kwamba haachwi na Mumwewe. Blogu ya Wananchi itaendelea kuwaletea saga hili la Mange Kimambi na Neema Ngwilulupi mke wa zamani wa Le Mutuz kumshambulia na kumdhalilisha baba wa watoto wake 2 bila sababu za msingi, na hasa baada ya kuachana naye miaka 6 iliyopita lakini inaonekana Mwanamama huyo aliyeolewa kama mke wa pili wa Patric Kirahi mfanyakazi wa TBC bado mpaka leo hajaweza kumsahau Le Mutuz Nation. Patric Kirahi mfanyakazi wa TBC ambaye alimuoa Neema baada ya kubadi;lisha Dini na kuwa Muisilamu bado pia ni Mume halali wa Mariam Komanya anayeishi Uingereza akiwa na watoto wake 2 pia.




0 comments:

Post a Comment

ufunguzi