,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 11, 2015

  
@LE MUTUZ LIVE EXTRA STRAIGHT TALK:- Somo la leo ni gumu sana kwa sababu linawagusa wengi sana na najua linaleta hasira lakini ni FACT kubali ujibadilishe kataa uendelee kuhangaika..Wabongo tuna tatizo lingine kubwa kwamba waliotoka kimaisha hawana muda wa kuwasaidia maarifa wengine ambao hawajatoka guys it is killing our Society Vijana wetu wapo Confused wamezoea kufanyiwa kila kitu muda wa kwenda wenyewe in life unafika hawawezi wanasubiri kufanyiwa na somebody unakuta mtumzima
anamlalamikia Mjomba wake aliyetoka kwamba ana roho mbaya hataki kumsaidia atoke na yeye...ok guys nitakupa mfano mmoja very serious niliporudi from Majuu nilirudi na AKILI tu lakini sio Mali wala Pesa now nina marafiki zangu hapa mjini wengi ambao wametoka kimaisha tena bigtime mimi nilipokuwa Majuu natafuta Elimu wao walibaki wanatafuta pesa now kwenye panic ya kurudi bongo na kuanza upya maana nilisota kidogo mwanzoni ningeweza kwenda kwa Joe Kusaga nikamuomba kufanya kazi Clouds hapana nilikwenda kwa Joe nikiwa nina event nimeshawalipa Yamoto Band na FM Academia na Barnabas na nina Sponsors Serengeti Larger msadaa niliomuomba ni kama mshikaji anipunguzie malipo ya Ukumbi na Matangazo yangu kwenye Radio yake boom akanisaidia bure kwa kuelewa kwamba tayari nina plan A ambayo 90% tayari imeshasimama .

..now my point is hata wewe ukiwa na 90% plan A imesimama hakuna ubaya kuomba msaada ambao hata ukiukosa unaweza kuingia ubia na mtu hawawezi kukosekana lakini sio upo ground zero HAIWEZEKANI Imagine ningeenda kwa Joe na Theory unajua nataka nipigishe bendi blah! Blah! naomba msaada seriously angeniona zimeruka kichwani kidogo...

ninajiuliza sana swali moja kwa nini generation yetu Vijana walikuwa wakipigana sana kivyao bila kutegemea misaada as opposed na this dotcom generation Vijana wanategemea kufanyiwa kila kitu WHY? tatizo lipo wapi kwenye ELIMU au MALEZI? I mean it is like nowadays Vijana hawaamini tena in kupigana wenyewe kila mtu anataka kubebwa bebwa matokeo Vijana wadogo wa kiume wanatafuta Wamama watuwazima kisa kubebwa bebwa...ukiwakuta Vijana wanaongea kuhusu kutoka kimaisha hoja zao nyingi zinalenga kubebwa sio kupigana WHY? - le Mutuz Nation

1 comment:

  1. big up le mutuz, today u talk the talk, hio ni kweli kabisa 120%., but i think ni elimu duni tu bro ndo inawafanya this generation kua mapoyoyo!

    ReplyDelete

ufunguzi