@LE MUTUZ NATION LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys Wabongo HATUJIAMINI kabisa inanisikitisha sana WHY? ni kama tumerogwa tunategemea sana KUOMBA OMBA tunategemea sana KUBEBWA BEBWA tunategemea sana KUVUTWA MKONO ni kama Ugonjwa vile hakuna anayetaka kupitia the PROCESS ambayo ni lazima upitie MAUMIVU jamani what went wrong with this Society?...I mean watu wanakuja Ofisini kwangu left and right tatizo lao ni moja tu wanaomba KUBEBWA wanaomba kuwa CONNECTED WABEBWE wengine Seriously WANAOMBA PESA jamani the
last time Baba na Mama yangu wamenipa pesa kama mtoto nakumbuka nilikuwa nimechaguliwa kwenda kusoma Sekondari Boarding Form One Morogoro that was it sikuwahi kuwaomba tena na hata walikuwa wakijaribu kunitumia Shuleni most of the time zilikuwa zinaishia kurudi cause I was so busy na mishe mishe zangu mjini sikuwa na time ya kuzifuatilia zikawa zinarudi mwisho wakaacha....then nikaenda Majuu nikajisomesha mwenyewe kwa kufanya kazi to this day ninapigana mwenyewe ndio maana niliporudi toka Majuu I was depressed kwa muda.wote ambao ilinibidi nikae kwenye Nyumba ya Baba yangu Seaview cause that was never my lifestyle ya kujifanyia mambo yangu mwenyewe sikuweza kwenda kuishi Kinyerezi kwenye Shamba na Nyumba yangu cause ni mbali na the actions Downtown lakini nikapigana mpaka nikahama na kuishi mwenyewe as I do here at Downtown hatanilivyopata nyumba hii na Ofisi Baba yangu hajui na huwa anashangaa maana sio rahisi ...now leo anakuja mtu kuniomba msaada nimvushe asipitie maumivu ya kupigana na kujifunza uvumilivu kwenye kutafuta kutoka kimaisha ninapigwa na mshangao of WHY?
halafu almost kila mtu anaamini in this fragile theory ya KUBEBWA BEBWA kila anayeomba msaada anakuwa Ground Zero hajafikia hata plan A tayari anataka kuvutwa mkono guys haiwezekani tena siku hizi hakuna na wala hayupo mtu wa kukuvuta mkono from Ground Zero angalau pigana ufikie plan A una something Stable to show na hata for that your goal should be Kujiongeza kwa kukopa benki....nilijifunza Majuu ili ujiongeze kimaisha ujipange na system za banking uwe.na access ya mikopo Majuu hamna mtu wa kukupa msaada NEVER guys we need to change our mindset PIGANA MWENYEWE! ASUBUHI NJEMA! - le Mutuz Nation

0 comments:
Post a Comment