![]() |
Ijumaa
ijayo yani tarehe 31 itakuwa siku Ya mwisho kujiandisha ili uwe mpiga
kura wa 2015. Wilaya yetu ya Kinondoni inavituo 706 vyakujiandikisha.
Na siku ya kwanza tulipokea BVR MACHINE 656, baada ya BVR kuwa chache tukaomba tukaongezewa BVR 121, tena nikaogezewa BVR 200, tena nikaongezewa BVR 160, na leo Nimepata BVR 50 na sasa wilaya ya kinondon ina BVR MACHINE 1187. kwa maneno hayo viko vituo vina BVR MACHINE 1 ktk kituo cha watu wachache na viko vingine kuna BVR MACHINE 3 kwenye kituo cha watu wengi. Hii yote ni kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi ili wajiandikishe haraka zaidi.

SWALI LANGU JE KUNA KITUO CHOCHOTE UNGEPENDA KESHO DC WAKO WA KINONDONI
AKITEMBELEE ILI KUONGEZA KASI YA UANDIKISHWAJI AU KUNA TATIZO LOLOTE
,NAOMBA UNITAJIE HICHO KITUO CHA UANDIKISHWAJI na mimi nitaenda
KUSHUGULIKIA KERO ili ifikapo ijumaa ya Tareh 31 wenyesifa ya kupiga
kura wapate nafas ya kujiandikisha.
WWW.PAULMAKONDA.COM
WWW.PAULMAKONDA.COM

0 comments:
Post a Comment