Posted by Williammalecela.com on Wednesday, April 27, 2016
Huyu ndiye Vata Mombassa Jujuman mwanamuziki maarufu sana nchini Zaire aliyetamba sana kwa upigaji wa rythm Miaka ya 70 na 80 akiwa Kiongozi wa Bendi ya Orch. Lipua Lipua iliyokuwa inamilikiwa na Verkys Kiamuangana Mateta Wazela Mbongo na huu wimbo wa "Yanini" ndio the Wimbo ambao Verkys aliupiga na kuurekodi kwenye Veve Editions akishirkiana na Vata Mombasa, ulikuwa ndio wimbo mmoja tu katika maisha yao yote ya muziki waliowahi kushiikiana kolabo.
0 comments:
Post a Comment