Matokeo Uchaguzi Wbunge viti Maalum Tabora .munde tambwe kura 667 anafuata mbunge wa zamani mwanne mchemba kwa kura 342 anafuata aziza suleyum ally nae alikuwa mbunge zamanji pia
japata kura 290 wa 4.paskazia malunde kura 42.wa 5 hamida thabiti 6.asma salum kura 40 wa 7.nisalile mwaipas kura 16 na wa mwisho agnes mgongo kura 6.Jumla ya kura zilikua 741 ziliharibika 7
0 comments:
Post a Comment