Posted by Williammalecela.com on Tuesday, July 28, 2015
Morning WATU kuingia kwa Lowasa CHADEMA/UKAWA kunabadilisha kabisa sura ya uchaguzi huu na kuipa CCM Chama changu the First ever serious political challenge toka tupate Uhuru na who is to blame ni CCM itself nilisema huko nyuma kwamba after the process ya kupata Mgombea wao wa Urais this time kulitakiwa some serious explanations of why Lowasa aliyeonyesha kukubalika zaidi in the end hakuwemo hata kwenye Tano bora..
Mwalimu was the greatest Leader ever lakini alikuwa ni binadam mwenye mapungufu na tatizo la Lowasa sasa hivi hata yeye anahusika cause hakuna system ya Demokrasia Duniani inayokuruhusu mwanachama wake mmoja kuwa Kiongozi wa Chama cha Siasa na kushika nafasi zake zote za Uongozi isipokuwa Urais tu hapana Mwalimu mwenyewe aliwahi kusema "Ukweli ukiminywa huwa una tabia ya kurudi na adhabu" now hii ni adhabu inairudia CCM ya kuishi na Kiongozi asiyetakiwa kwenye Urais tu...Kuingia kwa Lowasa opposition kunawapa meno makali sana wapinzani ambayo hawajawahi kuwa nayo which attracts International Community ni Furaha ya Wazungu kutuona tukivurugana we Africans wakati wa Vita vya Idd Amin wote Tanzania na Uganda tulikuwa tunauziwa Silaha na agent mmoja bila kujua kwa jina Adinan Kashoghi aliyekuwa anazitoa Soviet Union...now UKAWA watapata misaada mizito na mikubwa guaranteed from maadui namba moja wa CCM Labor Party ya Tony Blair na Scandnavians Countries...
huu ni wakati wa CCM kutuliza Vichwa vikubwa chini in life tunavuna tulichopanda huwezi kupanda mahindi ukavuna Mihogo ili kutatua tatizo ni lazima kwanza kukubali kuwa una tatizo na in this case CCM ikubali kwanza kwamba tatizo la Lowasa wa kulaumiwa ni CCM yenyewe and then kuanzia kujipanga bravely kulijibu kwa kuitumia AKILI KUBWAZZ..ijiepushe na overreacting itulie kwanza maana Wabongo ni fuata upepo so wengi wataenda hata bila sababu just because mbona wengi wanaenda CCM iliruhusu vipi Lowasa kufikia kuwa Serikali with Serikali? It is a Million Dollar Question watajibu at huu Uchaguzi! JAMANI ASUBUHI NJEMAZZ! - le Mutuz Nation
Hear hear! Leo umetoa point ya nguvu. Well said mwanangu.
ReplyDeleteleo umetulia mkaka naona mmmh umeichimbua sawa sawa!
ReplyDeleteDuuu le mutuz Leo umeongea ukamaliza kabisa
ReplyDeletehii tabia ya a few kuchagua nani ana faa or hafai should be public voice not a few CCM leaders ambao hawakufanya correctly. Payback is painfull but some one got to do it and its time we see clean up in CCM too much of nothing is enough. Watu wamechoka so opposition wakinshinda which i hope maybe ndiyo CCM will step and do the right thing to the general public.
ReplyDeleteMi mawazo yangu yapo kidogo tofauti though nakuunga mkono kwa ufafanuzi wako , umeeleza sahihi,. Mimi naunga mkono kabisa kwa CCM kutomuweka LOWASA kuwa mgombea urais, Rais Kikwete kwa hili nakupongeza ,Lowasa alikuwa na skendo kubwa alipokuteuliwa tu kuwa waziri mkuu, atakuwaje Rais? Yaani Watanzania wote naomba wajue kumpigia kura Lowasa ni sawa na kumkalisha fisi ndani ya bucha la nyama, , kaka lemutuz umeongea vizuri nataka nikwambie ukweli kuna tatizo CCM hata Rais Kikwete anajua hilo, hata hii skendo ya lowasa najua watu wengi wamo, lakini dawa inakuja, sasa machafuko yataingia, sasa kuumbuliwa tutakusikia, yaani Lowasa hafai sio kiongozi yaani mtanzania anaeumizwa kichwa na lowasa anamtindio wa ubongo , na pia ni fisadi , samahani lakini naongea kwa uchungu na nchi, hatuna viongozi wa kweli , kila mtu anafikilia masirahi yake , nilianza kutia akilia yangu kuendea upinzani lakini upinzani kama watamsimamisha Lowasa aka makombo ya CCM haki ya Mungu Vote kwa Magufuri mara mia 100 ili CCM ishinde, upinzani utaonesha ni jinsi gani hawajakomaaa kisiasa kama watamsimamisha lowasa, na hii ni dalili kuwa upinzani bado sana , inabidi wajibange kama miaka 100 ivi ndio watakuja kutoa rais lakini kwa sasa watacheza na makombo ya CCM we adi awa mafisani wote wawe vikongwe , im sorry for this newspaper
ReplyDeleteJamani WATANZANIA LOWASA HAFAI KUWA KIONGOZI, MTU YOYOTE AMBAYE ALIWAHI KUWA NA NYAZIFA KUBWA YA KUWA WAZIRI MKUU NA KUKUTWA NA SKENDO KUBWA NA KUJIUZURI HAFAI ATA KUWA MZAZI MWEMA, ANAMISHA SI MWAMINIFU, ANAMANISHA SI MWENYE HOFU YA MUNGU, INAMANISHA ANA TAMAA, ANATAKA KUJINUFAISHA YEYE KWA KUTUMIA MIGONGO YA WANANCHI, POPOTE ATAKAPOKUWA HATA ANGEKUWA MGOMBEA WA CCM, AU UKAWA HAFAI KWA MBOGA WALA KWA KULUMANGIA, HAFAI CCM WALA HAFAI UPINZANI, SIJUI NI NANI ANAEHITAJI KIONGOZI KAMA HUYU
ReplyDelete