Kambi
ya Lowasa kwa sasa tumbo joto kutokana na mgawanyiko mkubwa
uliojitokeza. Kambii hiyo imegawanyika na kuzaa timu mbili. Timu ya
kwanza inaundwa na wastaafu akiwemo Apson Mwang'onda na viongozi wa CCM
wa Mikoa na wilaya. Wengi wa wanaounda kundi hili ni wachovu kifedha na
wanaishi kwa kutegemea Marafiki wa Lowasa.
Timu ya Pili inaundwa na
Marafiki wa Lowassa ambao ndio wenye fedha. Taarifa za uhakika kutoka
kambi hiyo zinasema kuwa Marafiki wa Lowasa wakiongozwa na Rostam Aziz
pamoja na Mke wa Lowasa Regina Lowasa hawataki rafiki yao aende
upinzani. Hoja wanazotoa ni pamoja na hizi zifuatazo;

0 comments:
Post a Comment