Mzazi mwenzie na Aunt Ezekiel, Moses Iyobo. STAA mkali katika anga la filamu Bongo, Aunt Ezekiel, ameingia katika malumbano makali kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram na mzazi mwenzie, Moses Iyobo, Mwengi mpaka kufikia hatua ya kuwaita watoto zao majina yasiofaa.
Chanzo makini kabisa kinadai kuwa hapo awali kabla ya Aunt kujifungua, Mwengi alitoa tamko kuwa kama staa huyo angejifungua basi atajifungua chura, kitu ambacho kilimkera sana na kuahidi kuwa atafungua mdomo wake atakapozaa.
BOFYA KUSOMA FULL STORY ===>>

0 comments:
Post a Comment