,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, June 25, 2015

Mwanamitindo na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama ‘Kidoti.
MWANAMITINDO na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama ‘Kidoti’ amejikuta akiambulia matusi ya nguoni kwa kosa la kumpongezamsanii mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba baada ya kutwaa tuzo tano za Kili Music Awards zilizotolewa mwezi huu jijini Dar. 


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi