
Haya ndiyo aliyo sema kupitia account yake ya
Instagram.Ulituahidi utafungua Radio mbona kimya mpaka leo?
JIBU : "Niliandika hiyo kitu siku ya wajinga duniani, April 1, sikuwahi kuahidi.
Lakini matamanio yangu ni siku moja kumiliki kituo cha radio na ikibidi hata television.
Hakuna linalo shindikana, palipo na nia.EFM radio ni yako?
JIBU : Hapana sio yangu
Nafikiri inadhaniwa hivyo kutokana na kila mtu ku tamani, mimi niwe na radio.
Je!mtaniruhusu na mimi niwaulize swali?
Kwanini mnatamani sana niwe na radio?
0 comments:
Post a Comment