
Kwa
mujibu wa, Babu Tale ambaye ni meneja wake, hivi sasa kiwango cha chini
anachochaji kwa show moja hapa nchini ni $15,000 (sawa na shilingi
Milioni 25 za Tanzania).
“Tuna
show Marekani show kumi na tano (15), show kumi na tano dola elfu
ngapi? Na kwa hapa Tanzania hatufanyi show chini ya dola e15,000.” Babu
Tale
aliiambia Bongo5.
aliiambia Bongo5.
Kwa mujibu wa Babu Tale, wanachaji kiasi cha hadi dola 25,000 kwa show moja za nje ya nchi (ikiwemo Marekani)
0 comments:
Post a Comment