| Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Udhibiti na Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Janneth Mahamba, akizungumza na wanahabari kwenye semina hiyo. |
Mtalaamu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Elibariki Mwakapaje, akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu ugonjwa huo.
Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Nsachris Mwamwaja akitoa ufafanuzi mbalimbali kwa wanahabari kuhusu jinsi wanavyopaswa kuandika habari za afya hasa zinazohusu magonjwa ya mlipuko bila kuathiri maeneo mengine.
Wanahabari Lenatus Mtabuzi (kushoto), Jimmy Mfuru na John Liveti (kulia) wakijadiliana kuhusu ugonjwa huo.
Wanahabari wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa kuhusu ugonjwa wa Ebola.
Mtalaamu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Elibariki Mwakapaje (mbele), akitoa mada katika semina hiyo.
0 comments:
Post a Comment