
Baada ya miss Colombia Paulina Vega kushinda katika shindano la Miss Universe usiku wa kuamkia jana baada ya kuwapiga chini washiriki kutoka nchi tofauti walioshiriki kinyan'ganyiro hicho akiwepo mpinzani mwenzake mkubwa kutoka Jamaica miss Kaci Fennell.


Huyu ndo miss Jamaica

Mshindi akiwa kwenye tabasamu

0 comments:
Post a Comment