Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika Skuli ya Fidel Castro Januari 26, 2015 kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba.
PICHA ZOTE NA IKULU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Hamadi Bakari Mshindo mara alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Fidel Castro leo kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba.
Washiriki wa Kongamano maalum la Wanachama wa CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika ukumbi wa Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba kufungua Kongamano hilo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai(katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Hamadi Bakari Mshindo (kushoto) Katibu wa Kamati Maalum wa Idara ya SUKI Eng.Hamadi Yussuf Masauni(kulia) wakiwa katika Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba lililofanyika leo katuka ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Katibu wa Kamati Maalum wa Idara ya SUKI Eng.Hamadi Yussuf Masauni akitoa taarifa fupi inayohusu Kongamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro leo Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba katika ukumbi wa Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba leo katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Washiriki wa Kongamano maalum la Wanachama wa CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein wakati akitoa hutuba yake ya ufunguzi lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakiwepo na Viongozi wengine baada ya kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba leo katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiagana Wanachama wa Chama cha Mapinduzi alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba kurejea Unguja leo baada ya kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba katika Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba.
0 comments:
Post a Comment