,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, January 26, 2015


Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ akimkumbatia paka wake.Na Gladness Mallya 
MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu.Akipiga stori na gazeti hili, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa kuwapata ndiyo maana ameamua kumtunza paka huyo mdogo mwenye miezi miwili ambapo anampa mahitaji muhimu ikiwa ni pamoja na kumpakata kama mtoto. 
“Jamani haka ndiyo kabebi kangu ninakapenda sana na kakipigwa huwa naumia mno, ni ka kike kana miezi miwili, huwa kananifariji sana ila soon tu namuomba Mungu atakuja orijino kabisa,” alisema Amanda.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi