,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, August 10, 2014

Warembo alikuwa wamependeza kila idara mambo yalikuwa safi na ukodak kuchukua nafasi yake

Warembo walivyo kuwa wamejiachia kiroho safi usiku huo.
Mambo yalikuwa full kujiachia kwa style mbalimbali.
Hiyo diyo bongo linavyokuja swala la party za usiku basi mambo tambalale
Habari ndiyo hii
Ni mambo ya warembo wakibongo hayo wanapendezaje 
Jitiririshe mwenyewe na kujionea kilichotokea usiku huo wa Instagram party ndani ya Bongo Mjini.































































































































 























The Instagram Party Jumamosi 2/8/2014 ilikuwa ni a record Instagrammers 6,000 au Elfu Sita walijitokeza kuja Escape 1 Beach Club ku Celebrate the Instagram Party. Ukumbi uliweza kuchukua watu 4,500 tu kwa hiyo wananchi 1,500 hawakuweza kupata nafasi ya kuingia na hata Wageni wote Mashuhuri tuliowalika walishindwa kufika kwa kunaswa kwenye misururu mirefu ya kuja Club na ilipofikia Saa Saba Usiku haikuwezekana tena kuruhusu watu kuingia ndani ya Ukumbi maana kungeweza kutokea matatizo makubwa sana, tunawaomba sana radhi wale wote walioshindwa kuingia kutokana na matatizo hayo isipokuwa ninasema kwamba tumejifunza namna ya kujipanga vizuri next time. The party was all about being yourself and loving others, again nawashukuru wote mliojitokeza na promise ni next time kubwa better and bigger than this time love U all people!! - Le Mutuz




asdfghj




































2 comments:

  1. mchumba hatukumuona mbona

    ReplyDelete
  2. le mutus nilimuona mchumba wako mzuri yule dada kweli educated hana papara alituliaaa alikuwa na nywele nyingiii kavaa miwani

    ReplyDelete

ufunguzi