| The
Instagram Party Jumamosi 2/8/2014 ilikuwa ni a record Instagrammers
6,000 au Elfu Sita walijitokeza kuja Escape 1 Beach Club ku Celebrate
the Instagram Party. Ukumbi uliweza kuchukua watu 4,500 tu kwa hiyo
wananchi 1,500 hawakuweza kupata nafasi ya kuingia na hata Wageni wote
Mashuhuri tuliowalika walishindwa kufika kwa kunaswa kwenye misururu
mirefu ya kuja Club na ilipofikia Saa Saba Usiku haikuwezekana tena
kuruhusu watu kuingia ndani ya Ukumbi maana kungeweza kutokea matatizo
makubwa sana, tunawaomba sana radhi wale wote walioshindwa kuingia
kutokana na matatizo hayo isipokuwa ninasema kwamba tumejifunza namna ya
kujipanga vizuri next time. The party was all about being yourself and
loving others, again nawashukuru wote mliojitokeza na promise ni next
time kubwa better and bigger than this time love U all people!! - Le Mutuz |
asdfghj


mchumba hatukumuona mbona
ReplyDeletele mutus nilimuona mchumba wako mzuri yule dada kweli educated hana papara alituliaaa alikuwa na nywele nyingiii kavaa miwani
ReplyDelete