Msanii
wa filamu Bongo, Wema Sepetu anaandaa utaratibu wa kumfikisha
mahakamani aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kufuatia
kitendo cha msanii wa Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Raymond ‘Rayvanny’
kumtumia kwenye video ya
wimbo wake wa Natafuta Kiki bila makubaliano.
wimbo wake wa Natafuta Kiki bila makubaliano.
Akizungumza
na gazeti hili hivi karibuni, Wema alisema amefikia uamuzi huo kutokana
na Diamond kukiuka makubaliano waliyofanya awali kuhusu yeye kuonekana
kwenye video hiyo.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment