,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, March 17, 2017


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Joseph Kahama, mtoto wa marehemu George Kahama wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia Machi 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi