,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, September 1, 2017

Leo August 31 2017 Mshindi wa BBA AFRICA Idriss Sultan amezindua kiatu chake mwenyewe kiitwacho ‘‘SULTAN SHOES’‘ ambapo amekaa kwenye  na kuongea kila kitu, kitapatikana wapi na ni bei gani.
Idris amesema wakati anawaza kutengeneza bidhaa zenye jina lake alitaka kuwa na bidhaa ya kipekee na ndio maana kaleta hivyo viatu ambavyo vinatengenezwa Ulaya na Asia ambapo bei yake inaanzia shilingi laki moja na nusu mpaka laki tatu….. zaidi ameongea kwenye hii video hapa chini

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi