Baada ya kukosewa kuandikwa baadhi ya maneno kwenye Ngao ya jamii TFF yafanya marekebisho, August 23 , 2017 simba waliibuka washindi dhidi ya Yanga na kukabidhiwa Ngao ya jamii ambayo ilikuwa na makosa ya kiuandashi.
Ngao hiyo ya jamii iliyotolewa kwa simba ilikuwa ikisomeka "COMMUNITY SHEILD" badala ya "COMMUNITY SHIELD" jambo ambalo lilizua mijadala kwenye mitandao ya kijamii na kupelekea TFF kuomba radhi kwa mashabiki wa mpira wa miguu
Afisa habari wa TFF Alfred Lucas leo August 29 2017 ameonesha Ngao ya jamii iliyofanyiwa marekebisho itakayotolewa kwa Simba siku ya mechi ya ligi kuu Tanzania bara

0 comments:
Post a Comment