,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, August 29, 2017

Video ya wimbo wa Ali Kiba "Seduce  me" wazidi  kuvunja record ukanda wa Afrika mashariki baada ya kufikisha watazamaji zaidi ya milioni  moja  ndani ya muda wa masaa 38 sasa imeendelea kufanya vizuri  kwenye mtandao wa youtube na kwenye stesheni za redio mbalimbali.


Video ya seduce me imeshikilia nafasi ya kwanza  katika video zinazofanya vizuri kwenye mtandao wa Youtube , Imefikisha watazamaji milioni 2 ndani ya muda wa siku 3 .Hatua hiyo inazidi kuiweka kuwa video ya kwanza Afrika mashariki kutazamwa na watu wengi kwa muda mfupi
Categories:

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi