,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, August 29, 2017






Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa *Paul Makonda* leo amefanya Mazungumzo na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi *SACP_ Lazaro Mambosasa* aliekuja kuripoti kwa Mkuu wa Mkoa baada ya kuteuliwa hivi karibuni na *IGP *Simon Sirro*.

Katika Mazungumzo hayo wamejadili hali ya *Usalama* Jijini Dar es Salaam na namna ya kuendeleza yale ambayo yaliachwa na *IGP Simon Sirro* wakati akiwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.










a

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi