Mwanamuziki nguli toka kenya Prezzo wiki iliyopita kabla ya pambano la Floyd Mayweather na Mcgregor alisikika kwenye moja ya kituo cha Redio Arusha akisema yeye na mayweather ni marafiki wa karibu sana .
Rapper huyo kutoka kenya alifunguka sababu za kutohudhuria pambano la swahiba wake licha ya kuwa na mualiko kutoka kwa Floyd mwenyewe ,Prezzo adai alichelewa ku renew visa yake ya kusafiria kwenda marekani kushuhudia pambano la swahiba wake, Pambano hilo lilifanyika kwenye uwanja wa T-mobile Arena jijini Las vegas.
Rapper huyo asema kuwa ana mawasiliano mazuri na bondia huyo na watu wasishangae siku wakimuona yeye na Mayweather wakiwa matembezini jijini Las Vegas

0 comments:
Post a Comment