,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, August 29, 2017

Image result for nembo ya sheria

Mawakili wanaofanya kazi zao Mkoa wa Dar es Salaam, Leo Jumanne 29/08/2017
*WAMEENDELEA* na kazi zao kama kawaida, *HOJA* yao kubwa wanasema *HAWANA* mkataba wa Kazi na *TUNDU LISSU,* wana mikataba ya kazi na *WATEJA* wao.

Hii ndio Dar es Salaam ya Mawakili Wasomi, na wanaojitambua na kutambua *HESHIMA* ya taalamu zao.
Ikiwaka *MULIKA,* ikizimika *PAPASA.*

Wakili Mtarajiwa
*Jerry C. Muro*
*Ubungo, Maziwa*
*Dar es Salaam.*
*29/08/2017*

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi