,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, April 24, 2017

Za kunyapia nyapia zinadai kwamba hakuna tena mapenzi baina ya mastaa Harmonize na mwanadada Jacqueline Wolper.Shilawadu wanadai kwamba Harmonize kwasasa ana toka na mrembo flani hivi wa kizungu na tayari
mrembo huyo ni mjamzito na inasemekana kibendi hicho ni cha Harmonize.Soudy Brown amewatafuta wawili hao bila mafanikio na kuamua kumvutia waya meneja wa Harmonize, Babu Tale. ili aweze kutupa angalau ukweli juu ya suala hilo.
Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play ili uweze kuusanukia mchongo mzima.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi