,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, May 21, 2017

Staa a Bongo Fleva na mmiliki wa lebo ya PKP, Ommy Dimpoz amekuwa miongoni mwa mastaa wanaovuti zaidi kwenye Instagram kutokana na maisha ya kitajiri anayoishi msanii huyu.

Wiki iliyopita Ommy alikuwa kwenye mechi ya NBA ya Eastern Conference kati ya Cleveland Cavaliers VS Boston Celtics na Usiku wa May 18 2017, Ommy ametuonyesha picha akiwa amelala kwenye Ndege katika Daraja la kwanza.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi