Ametoa tamko ktk SIKU YA USIKILIZAJI kero za wananchi ukumbi wa mkapa leo
- Amesema kero Nyingi za ardhi jiji la Mbeya ni ucheleweshaji fidia, wananchi kutolewa viwanja mbadala na utoaji hati YA kiwanja kimoja kwa wamiliki wawili

- Amewapa jiji muda wa wiki Tatu kuja na mpango mkakati wa kumaliza kero za ardhi jiji la Mbeya
- Awataka watendaji kuwa Karibu na wananchi na kuwa wepesi kushughulikia kero zao





0 comments:
Post a Comment