
Ni April 7, 2017 ambapo wasanii mbalimbali walikutana Coco Beach Dar es Salaam kwaajili ya kuzungumza suala kumtafuta Roma Mkatoliki na wenzake.
Roma Mkatoliki akiwa na wenzake mnamo April 5,2017 walichukuliwa na watu wasiojulikana katika studio za Tongwe Records na kuelekea kusikojulikana.
Itazame hii video hapa ujionee jinsi wasanii walivyozungumza na waandishi wa habari kuhusu kumtafuta Roma Mkatoliki
0 comments:
Post a Comment