Balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa Kairuki, leo amewaasa WaTanzania kujipanga kuzitumia vizuri Fursa za Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na China na hasa wakati huu ambapo China inazidi kujopambanua kama Muwekezaji mkubwa wa Maendeleo katika Africa.
Balozi Mbelwa ameyasema hayo leo huko mjini Guangzhou alipowaongoza wafanya biashara wa Tanzania kwemye mkutano maalum wa China/Tanzania Business Forum uliofanyika mjini huko Guangzhou leo asubuhi.









0 comments:
Post a Comment