Tangu aingie madarakani Rais mwenye sera za Kibaguzi kwa watu Weusi na Waislamu Donald Trump ameendelea kupata upinzani kutoka kwa watu mbalimbali mashuhuri.
Wasanii karibia pande zote za Marekani wanaendelea kumpinga Rais Trump kutokana na Sera zake za Kibaguzi kwa makundi ya jamii.
Msanii Snoop Dogy Baada ya kutoa video ya kumkejeli, Rais huyu alitweet na kusema ni muda mrefu sana Snoopy hajaingia Jela na huu ndio wakati wake wa kuingia kwenye 4 bars aonje machungu kidogo.
Trouble Maker mwenye pesa pande za ATL, TI ameibuka na kumuonya Donald Trump kuwa asijaribu kumgusa Legendary Snoop Kama ambavyo anatunga sera za kibaguzi na kuendelea kuwagawa Wananchi kwa kujenga ukuta kifupi TI alimnyea mshikaji vya kutosha yaaani hajamkwepesha hata chembe.
0 comments:
Post a Comment