Afanya mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi kata YA Uyole, ahahidi kuendelea mikutano YA kusikiliza kero za wananchi kata zote
- Awataka watendaji wa serikali kuwa wepesi na Karibu na wananchi kushughulikia kero za wananchi
- Asema watendaji wa serikali wathibitishe kwa vitendo kwa wananchi ofisi zao ni kimbilio la wananchi ikiwemo kupunguza urasimu na lugha za maudhi kwa wananchi

- Aagiza uongozi wa jiji la Mbeya kurejesha maeneo waliogawa kwa raia wa kigeni utaratibu ufuatwe yarejeshwe kwa wananchi kwa ajili ya soko
- Wananchi 36 waliotapeliwa mashamba yao na mwekezaji warejeshewe baada ya mwekezaji kutokujenga Shule kwa miaka 14

Aidha amewaagiza TRA kuweka utaratibu wa kwenda kwenye kata kukusanya kodi YA majengo badala YA kuwapa usumbufu wananchi kwenda kuweka FOLENI ofisi za TRA

0 comments:
Post a Comment