Afanya mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi mtaa wa Shewa kata YA MWAKIBETE
- Apongeza wananchi kwa kushiriki ujenzi wa madarasa kupunguza msongamano wa wanafunzi, hslmashauri YA jiji la Mbeya wachangia shilingi 6.3m kuunga Mkono jitihada za wananchi
- Ahahidi kufuatilia kwa Karibu ujenzi wa madarasa mpaka yakamilike

- Wananchi wachukizwa na watu wachache wanapita kushawishi wananchi wasichangie
- Awaonya wote wanaoshawishi wananchi kutochangia MAENDELEO kuacha tabia hiyo mara moja 

- Aonyesha mfano wa kuchangia milioni moja ujenzi wa choo cha Shule msingi shewa
- Awaagiza Tanesco na Mamlaka YA Maji kushughulikia haraka matatizo YA Umeme na Maji


0 comments:
Post a Comment