
Tundu Lissu
MBUNGE wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, aliyekamatwa jana mjini Dodoma na kuletwa Dar es Salaam, leo
amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kuendelea na kesi ya mashtaka matano ya uchochezi kuhusiana na uchaguzi mdogo visiwani Zanzibar katika jimbo la Dimani.
0 comments:
Post a Comment