Mwanadada anayetamba na ngoma ya Main Chick, Maua Sama amesema yeye hategemei ‘kiki’ ili ku-‘hit’ bali uzuri wa kazi zake, na kuwataka wasanii wengine waache kutafuta ‘kiki’ ili kupata majina bali wajikite kwenye kutengeza kazi nzuri.
Akiwa ndani ya Planet Bongo jana, Maua amesema kuwa wasanii wengi wamejikita kwenye kutafuta kiki badala ya kuwapa mashabiki ladha tofauti na kusisitiza kwamba dhana ya kiki inapaswa kufutika ili kila mtu afanye kazi nzuri.
“Ukifanya muziki mzuri lazima tu utapata jina, wala hakuna haja ya kiki, mfano mzuri mimi hapa ni msanii ambaye nimepata sapoti nzuri sana kwenye ‘game’ bila kuongelewa kwa mambo mabaya ya kiki, ‘The real deal is good music’ siyo skendo, japo mimi nina skendo ya kut
0 comments:
Post a Comment