Wanasayansi wa Uingereza wamevumbua njia mpya ya kupima HIV ambayo
itahitaji tu kuchomeka kifaa kwenye kompyuta kama unavyochomeka USB Flash. Watafiti wanadai kuwa kifaa hicho kinaweza kubaini virusi kwenye tone la damu na kutoa majibu yanayoweza kusomwa kwenye laptop.

Kifaa hicho kinaweza kutoa majibu ndani ya dakika 30. kimetengenezwa na timu ya Imperial College London na kampuni ya DNA Electronics.
0 comments:
Post a Comment